Bima ya viza ya China

Bimapap inakuwezesha kununua bima ya viza ya China wakati wowote na mahali popote. Kwa kutumia WhatsApp unaweza kununua bima ya viza ya China kwa urahisi zaidi. hii itakusaidia Kuokoa gharama zisizotarajiwa ambazo hujitokeza wakati wa kusafiri.

bima ya viza ya china

Kwa kutembelea tovuti yetu ya https://www.bimapap.co.tz utaweza kununua bima ya visa ya kusafiri kwenda China na nchi zingine Ulimwenguni. pia utapata bima za aina nyingine kama bima ya magari, bima ya moto, na bima ya vyombo vya moto.

tembelea https://www.bimapap.co.tz/2020/07/13/bima-ya-magari/ kupata taarifa ya bima ya magari na bima za aina nyingine.

tembelea tovuti ya ubalozi wa China Tanzania kwa maelekezo zaidi http://tz.china-embassy.org/eng/sgxxs/ambassador/dszc/

Leave A Comment

Barua-pepe haitachapishwa.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.