bima

Majanga ya kifedha

Kwa kutumia huduma ya BimaPap bima kidijitali, ni rahisi kupata bima za majanga ya kifedha mapema na kwa usalama wa hali ya juu. Unafuata hatua chache tu kukamilisha manunuzi ya bima yako.

Yapo majanga mbalimbali katika maisha ya mwanadamu. BimaPap inakupa uhakika wa kukabiliana na majanga mbalimbali yanayojitokeza kwenye maisha yako hasa majanga ya kifedha.

Bonyeza *150*51# kupata bima kupitia simu ya mkononi. Sasa hutakua na wasiwasi kuhusu majanga ya kifedha kwakua BimaPap iko pamoja nawe.

Tuma ujumbe mfupi WhatsApp kupitia +255764166066 upate Bima yako haraka.

Tutembelee katika kurasa zetu za kijamii Instagram @bimapaptz

Leave A Comment

Barua-pepe haitachapishwa.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.