Kulipia kwa M-PESA
JINSI YA KULIPA KWA
Vodacom
- Piga: *150*00#
- Chagua 4: Lipa kwa Mpesa
- Chagua 4: Weka namba ya kampuni
- Weka namba ya kampuni: 888999
- Weka kumbukumbu namba ya malipo
- Weka kiasi cha pesa:
- Weka namba ya siri ****(NMB)