Bima ya safari(Travel insurance)

  1. BimaPap inapenda kukufahamisha kwamba sasa bima ya safari (Travel Insurance) pia inajumuisha gharama za msafiri kutibiwa na kulazwa hospitali iwapo ameugua virusi vya Corona (COVID-19) kwenye nchi iliyoidhinishwa rasmi kuwa ni salama kusafiri. 

BimaPap inazidi kukujali ewe mteja na kuthamini muda wako kwa kuhakikisha hupati usumbufu na kuingia gharama zisizo za lazima kama ilivyo sasa. Kwa kutumia BimaPap utapata bima yako ya safari (travel insurance) mara moja hapo ulipo kwenye WhatsApp ya simu yako na pia barua pepe yako (email address). Hauna haja ya kwenda kwenye ofisi yoyote ya bima kujipatia bima hii. 

Kujipatia bima yako sasa hivi jipendelee kwa kutuma neno BimaPap kwenda 0764166066 na kisha ujihudumie bima kwa uwepesi bila stress.  Kwa msaada zaidi piga 0766424205

Bima ya Safari (Travel Insurance) ya Milembe Insurance kupitia BimaPap inatumika kwenda sehemu yoyote duniani zikiwemo

  • nchi zote za bara la Afrika (mfano Ethiopia, Egypt, South Africa, Namibia n.k,)
  • nchi za bara la Asia (mfano India, China, South Korea, Japan, n.k),
  • Australia, New Zealand,
  • nchi za mashariki ya kati (mfano UAE, Qatar, Saudi Arabia),
  • nchi za mabara ya Amerika (mfano USA, Canada, Brazil, Colombia n.k.),
  • nchi za Ulaya (Russia, United Kingdom, Germany, Belgium n.k.), https://visaguide.world/travel-insurance/europe/schengen-visa-insurance/

Tembelea ukurasa wetu kupata maelekezo zaidi https://www.bimapap.co.tz/shop

Leave A Comment

Barua-pepe haitachapishwa.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.