Bima ndogo(Third party insurance)
- BIMANDOGO YA MAGARI (MOTOR THIRD PARTY
INSURANCE) KWA *150*51#: BimaPap inaendelea kukurahisishia njia tofauti
za kujipatia bima kwa kutumia simu. Mbali na kuweza kununua bimandogo (Third
Party) ya vyombo vya moto vya barabarani kwa kutumia WhatsApp sasa karibuni
utaweza kujipendelea na kujihudumia bima hii kwa kupiga simu *150*51#. Ubora
wa huduma ya BimaPap kwa kutumia *150*51# itabaki palepale kwa kuipata bima
yako papo hapo ulipo kwenye SMS na WhatApp yako. Na kama kawaida Milembe
Insurance watakupigia simu na kukuletea stika yako mahali ulipo.
Kujipatia bima yako sasa hivi jipendelee kwa - kutuma neno BimaPap kwenda 0764166066 na kisha ujihudumie bima kwa uwepesi bila stress kwenye WhatsApp. Kumbuka kinachohitajika ni wewe kutaja namba ya gari yako na matumizi yake pekee.
- Kupiga *150*51# na uendelee na taratibu nyepesi za kujihudumia bima.
Kumbuka kinachohitajika ni wewe kutaja namba ya gari yako na matumizi yake pekee. Huna haja tena ya kwenda ofisi ya bima kupata bima. BimaPap inaondoa usumbufu, inaokoa gharama na muda. Kwa msaada zaidi piga 0766424205
Tembelea duka letu la kimtandao kupata taarifa zaidi kupitia https://www.bimapap.co.tz/shop
Unaweza kupata visa za safari za nchi mbalimbali pia kama nchi za ulaya kupitia https://visaguide.world/travel-insurance/europe/schengen-visa-insurance/