Dereva kipato ni kampeni inayoendeshwa na Milembe insurance na BimaPap ya kupanua ufahamu wa madereva wa vyombo vya moto ili kuelewa kuwa kazi wanayofanya ina manufaa kwao. Kupitia kampeni hii, dereva atapata bima ya chombo cha moto na pia atatia sahihi mkataba wa kupata bima hiyo ili kuwa na uthibitisho na uhakika wa ununuzi wa […]
The process of verifying insurance provide confirmation whether an individual or entity has valid and active insurance coverage. Milembe insurance with BimaPap offer verification solutions to clients with record of accuracy and reliability. This help organizations and clients to reduce risk, ensure compliance, and streamline administrative processes. Send a short message on WhatsApp to +255764166066 […]
BimaPap inakupa nafasi ya kuhakiki bima unazonunua kwaaili ya kutambua uhai wa bima yako. Hakiki bima ya gari au ya biashara au bima binafsi. Ni vizuri kuhakiki bima yako ili kufahamu kama muda umepita au bado una muda mrefu wa kuitumia bima uliyonayo. Hii itakusaidia kutokuishi kwa wasiwasi katika maisha yako. Karibu BimaPap kufahamu zaidi […]
BIMANDOGO YA MAGARI (MOTOR THIRD PARTY INSURANCE) KWA *150*51#: BimaPap inaendelea kukurahisishia njia tofauti za kujipatia bima kwa kutumia simu. Mbali na kuweza kununua bimandogo (Third Party) ya vyombo vya moto vya barabarani kwa kutumia WhatsApp sasa karibuni utaweza kujipendelea na kujihudumia bima hii kwa kupiga simu *150*51#. Ubora wa huduma ya BimaPap kwa kutumia […]
BimaPap inapenda kukufahamisha kwamba sasa bima ya safari (Travel Insurance) pia inajumuisha gharama za msafiri kutibiwa na kulazwa hospitali iwapo ameugua virusi vya Corona (COVID-19) kwenye nchi iliyoidhinishwa rasmi kuwa ni salama kusafiri. BimaPap inazidi kukujali ewe mteja na kuthamini muda wako kwa kuhakikisha hupati usumbufu na kuingia gharama zisizo za lazima kama ilivyo sasa. […]
Recent Comments