Kuhakiki bima

BimaPap inakupa nafasi ya kuhakiki bima unazonunua kwaaili ya kutambua uhai wa bima yako. Hakiki bima ya gari au ya biashara au bima binafsi.

Ni vizuri kuhakiki bima yako ili kufahamu kama muda umepita au bado una muda mrefu wa kuitumia bima uliyonayo.

Hii itakusaidia kutokuishi kwa wasiwasi katika maisha yako. Karibu BimaPap kufahamu zaidi na kununua Bima yako sasa.

Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii instagram @pimapaptz

Tuma ujumbe mfupi WhatsApp kupitia +255764166066 upate Bima yako haraka.

Leave A Comment

Your email address will not be published.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.