Dereva Kipato

Dereva kipato ni kampeni inayoendeshwa na Milembe insurance na BimaPap ya kupanua ufahamu wa madereva wa vyombo vya moto ili kuelewa kuwa kazi wanayofanya ina manufaa kwao.

Kupitia kampeni hii, dereva atapata bima ya chombo cha moto na pia atatia sahihi mkataba wa kupata bima hiyo ili kuwa na uthibitisho na uhakika wa ununuzi wa bima yake.

Dereva kipato ni kampeni ya kukurahisishia upatikanaj wa bima kidijitali na kwa haraka.

Tuma ujumbe mfupi WhatsApp kupitia +255764166066 upate Bima yako haraka.

Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii instagram @pimapaptz

Leave A Comment

Your email address will not be published.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.