Bima ndogo(Third party insurance)

  1. BIMANDOGO YA MAGARI (MOTOR THIRD PARTY INSURANCE) KWA *150*51#: BimaPap inaendelea kukurahisishia njia tofauti za kujipatia bima kwa kutumia simu. Mbali na kuweza kununua bimandogo (Third Party) ya vyombo vya moto vya barabarani kwa kutumia WhatsApp sasa karibuni utaweza kujipendelea na kujihudumia bima hii kwa kupiga simu *150*51#. Ubora wa huduma ya BimaPap kwa kutumia *150*51# itabaki palepale kwa kuipata bima yako papo hapo ulipo kwenye SMS na WhatApp yako. Na kama kawaida Milembe Insurance watakupigia simu na kukuletea stika yako mahali ulipo.

    Kujipatia bima yako sasa hivi jipendelee kwa
  2. kutuma neno BimaPap kwenda 0764166066 na kisha ujihudumie bima kwa uwepesi bila stress kwenye WhatsApp. Kumbuka kinachohitajika ni wewe kutaja namba ya gari yako na matumizi yake pekee. 
  • Kupiga *150*51# na uendelee na taratibu nyepesi za kujihudumia bima.

Kumbuka kinachohitajika ni wewe kutaja namba ya gari yako na matumizi yake pekee. Huna haja tena ya kwenda ofisi ya bima kupata bima. BimaPap inaondoa usumbufu, inaokoa gharama na muda. Kwa msaada zaidi piga 0766424205

Tembelea duka letu la kimtandao kupata taarifa zaidi kupitia https://www.bimapap.co.tz/shop

Unaweza kupata visa za safari za nchi mbalimbali pia kama nchi za ulaya kupitia https://visaguide.world/travel-insurance/europe/schengen-visa-insurance/

Leave A Comment

Your email address will not be published.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.