Bima ya Magari

BimaPap inakuruhusu wewe mteja wa bima kununua bima ya magari kwa Urahisi popote ulipo. Kwa kutumia WhatsApp unaweza kununua bima ya magari au gari yako muda wowote mahali popote.

Bonyeza Hapa kununua bima

bima ya magari
bima ndogo

Bima ni kinga dhidi ya majanga kwa maana ya kwamba majanga yanapokutokea basi bima inakuja kukupooza machungu yay ale majanga kwa kukurejesha mahali ulipokuwa kabla ya ajali. Katu bima haipo kwaajili ya kukunufaisha/kukupa faida wewe uliyekata bima au uliyeathirika na bima. Unapokata bima unajiwekea akiba itakayokusaidia kukugharamikia wakati upatapo majanga siku za usoni, siku ambazo huzijui na japo unaweza kubashiri aina ya majanga lakini huwezi kujua lini yatatokea. Bima kama zilivyotaaluma nyingine ina kanuni na taratibu zake ambapo usipozifuata utaishia kutolipwa na kuona bima haina msaada wowote. Mojawapo ya kanuni hiyo huitwa “ Insurable interest”, yaani kwa Kiswahili rahisi ni hisa au uhusiano wa kisheria na kifedha ulionao na kile kitu unachokikatia bima kiasi kwamba kuharibika au kupotea kwa kitu hicho kunakuathiri sana wewe mkata bima. Baadhi yetu wamenunua magari kutoka kwa watu wengine, kwa maana ya kwamba magari hayo hawajaagiza wenyewe kutoka nje ya nchi.

Tembelea ukurasa wetu kupata Updates zote http://www.bimapap.co.tz

Leave A Comment

Your email address will not be published.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.